pmbet

Bunge lapitisha sheria, wabakaji sasa 'kuhasiwa'

Eric Buyanza

February 15, 2024
Share :

Nchini Madagascar Bunge limepitisha sheria itakayoruhusu kuhasiwa kwa wanaume watakaopatikana na hatia za kubaka watoto.
 

Hata hivyo sheria hiyo iliyopitishwa Februari 2 mwaka huu na ambayo imeungwa mkono na wengi nchini humo, imekosolewa na mashirika mbalimbali ya kutetea haki za binadamu.
 

Kinachosubiriwa sasa ni sheria hiyo iidhinishwe na Mahakama Kuu ya Kikatiba na kutiwa saini kuwa sheria na Rais wa nchi hiyo Andry Rajoelina.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet