Burna Boy alowa mapene, Tour ya (I told them) yamlipa mabilioni
Joyce Shedrack
March 21, 2024
Share :
Msanii wa mziki kutoka nchini Nigeria Burna Boy kupitia tour yake ya 'I told them’ amefanikiwa kuvuna kiasi kikubwa cha fedha ikiwa imepita miezi michache tu tangu kuanza kwa ziara hiyo itakayokamilika mwezi wa saba lakini mpaka sasa tayari Burna boy ameshaingiza billion 66.
Fuatilia zaidi kwenye video hapo chini.