Burna Boy atajwa kwenye orodha ya 'Wanaume wanaovutia zaidi'
Eric Buyanza
April 13, 2024
Share :
Nyota wa muziki wa Afro Beat kutoka Nigeria, Damini Ogulu, maarufu kwa jina la 'Burna Boy', ameingia kwenye orodha ya 'Wanaume wanaovutia zaidi' ya jarida la Essence la nchini Marekani.
Orodha hiyo pia inajumuisha mastaa kama vile Usher Raymond, Trevente Rhodes, Daniel Kaluuya, Colman, na Skepta.