pmbet

CAF yapakimbia Kenya, yahamia Tanzania

Sisti Herman

November 18, 2026
Share :

 

 

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limehamisha makao makuu ya uratibu wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 kutoka jijini Nairobi, Kenya, kwenda jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Licha ya uamuzi huo kuwasilishwa rasmi kwa mataifa matatu yanayoandaa michuano hiyo kwa pamoja—Tanzania, Kenya, na Uganda—sababu kuu zilizopelekea mabadiliko hayo bado hazijawekwa wazi na shirikisho hilo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet