pmbet

CAF yatangaza kuanza kwa mechi za kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika 2025

Eric Buyanza

December 26, 2023
Share :

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza tarehe ya kuanza kwa mechi za kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika 2025.
 

Duru ya awali itafanyika kuanzia Machi 18 hadi 26, 2024.
 

Mechi za mzunguko wa kwanza na wa pili zimepangwa kutoka Septemba 2 hadi 10, 2024.
 

Michezo ya raundi ya tatu na ya nne itafanyika kuanzia Septemba 7 hadi 15, 2024.
 

Raundi za mwisho za mchujo zimepangwa Novemba 11 hadi 19, 2024.
 

Morocco itakuwa mwenyeji wa AFCON 2025 baada ya Guinea kupokonywa haki yake ya kuandaa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet