pmbet

CAMERON PARK: Mji ambao kila mkazi anamiliki ndege binafsi

Eric Buyanza

March 18, 2024
Share :

Unaambiwa tembea uyaone, leo tunakupeleka Cameron Park mji mdogo uliopo California nchini Marekeni ambapo asilimia 99 ya wakazi wa eneo hilo wanamiliki ndege binafsi kama usafiri wa kawaida kwa ajili ya shughuli zao za kila siku.

Ni jambo la kushangaza lakini ni kweli, yaani kama umezoea kuona magari mengi yamepakiwa kwenye mitaa yenye makazi ya watu, basi eneo la Cameron Park ni kinyume chake kwasababu kwenye maegesho ya kila nyumba ni lazima utakutana na ndege.

Mji huo barabara zake za mtaani zimejengwa kwa upana mkubwa tofauti na barabara za kawaida..hii ni kwasababu ya kuruhusu ndege kupita kwa urahisi zikiwa zinapishana na magari wakati zikielekea kwenye njia ya kurukia ndege bila kupata changamoto.

 

Inaelezwa kuwa wakazi wengi wa eneo hilo ni marubani, madaktari pamoja na wanasheria.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet