pmbet

Cameroon kumtimua Marc Brys

Sisti Herman

November 17, 2025
Share :

 

Cameroon wanakaribia kumtimua Marc Brys baada ya kushindwa kufuzu kwa Kombe la Dunia.

Mpango huo unaonozwa na rais wa shirikisho la soka nchini humo FECAFOOT Samuel Eto'o ambaye hazjawwahi kuiva na kocha huyo aliyejiriwa na wizara ya michezo nchini humo.

Mvutano umekuwepo tangu siku ya kwanza na mkutano muhimu unatarajiwa kufanyika.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet