pmbet

Cancelo abeba mataji manne kwenye Ligi 5 Afrika

Sisti Herman

May 11, 2026
Share :

 

Ubingwa wa Ligi Kuu Hispania (La liga) aliotwaa jana akiwa na FC Barcelona umemfanya João Cancelo kuandika historia ya kuwa mchezaji aliyeshinda ubingwa wa Ligi mara nne katika nchi nne tofauti kutoka ligi tano bora Ulaya.

1. Serie A — akiwa na Juventus (2018/19)
2.Premier League — akiwa na Manchester City
(2020/21, 2021/22, 2022/23)
3. Bundesliga — akiwa na Bayern Munich (2022/23)
4. La Liga — akiwa na Barcelona (2025/26)

Pia Cancelo ni mshindi wa Taji la ligi ya Ureno Primeira Liga akiwa na Benfica mwaka 2013/14, japo ligi hiyo haipo kwenye “Top 5 ya ligi bora za Ulaya .

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet