pmbet

Captain Gadner aagwa Dar leo

Sisti Herman

April 22, 2024
Share :

Mwili wa Mtangazaji Mkongwe wa Clouds FM Gardner G Habash umeagwa katika viwanja vya Leaders Club ambapo watu mbalimbali mashuhuri wakiwemo Viongozi, Watangazaji, Wasanii na Wadau wa Sekta ya Habari na Burudani wameungana na Waombolezaji wengine kumuaga Mtangazaji huyo Mkongwe kabla ya mwili wake kusafirishwa kwenda Mkoani Kilimanjaro ambako atazikwa kesho April 23,2024 katika Kijiji cha Kikelelwa, Kata ya Tarakea Wilayani Rombo.

Picha juu ni mtoto wa Mtangazaji huyo Malkia Karen pamoja na ndugu na marafiki wengine.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet