pmbet

Cardi B na Stefon Diggs ndo basi tena wamebwagana rasmi.

Joyce Shedrack

July 8, 2025
Share :

Penzi la rapa wa Marekani Card B na mwanamichezo Stefon Diggs linadaiwa kuota mbawa baada ya rapa huyo kufuta picha zote akiwa na Stefon kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Cardi B, Stefon Diggs Spark Breakup Rumors
Mastaa ambao mahusiano yao yalianza mwaka 2024 walionekana kuwa pamoja mara kadhaa kwenye maeneo ya starehe huku pia Mei 2025 wakionekana hadharani walipohudhuria pamoja katika moja ya mechi ya mpira wa kikapu ya New York Nicks huku wakiwa wameshikana mikono.

 

Licha ya Cardi B kufuta picha ila sio yeye wala Stefon Diggs aliyethibitisha kuachana kwao.

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet