pmbet

Carrick akutana na Fletcher mechi ya u18

Sisti Herman

February 15, 2026
Share :

 

Wachezaji wenzani wa zamani wa Manchester United, Darren Fletcher na Michael Carrick, walionekana wakiwa katika mazungumzo ya kina kufuatia ushindi wa kishindo wa timu ya vijana ya Manchester United (U18) dhidi ya wapinzani wao Manchester City mwishoni mwa wiki hii.

 

Baada ya United kuwafundisha soka City kwa ushindi wa mabao 3-1, makocha hawa na magwiji wa klabu hiyo walinaswa na kamera wakibadilishana mawazo, jambo ambalo limezua msisimko kwa mashabiki wanaofuatilia maendeleo ya vijana klabuni hapo. Uwepo wao unatajwa kama chachu ya mafanikio kwa kizazi kijacho cha Mashetani Wekundu.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet