Casemiro akosa kigezo cha kuongezewa mkataba Man United
Sisti Herman
May 9, 2026
Share :

Kukosekana kwa Casemiro kunamaanisha kuwa hataweza kufikisha mechi 35 za kuanza kwenye kikosi cha kwanza katika ligi kuu msimu huu jambo ambalo lingewezesha kuongezwa kwa mwaka mmoja kwenye mkataba wake wenye mshahara wa pauni 375,000 kwa wiki.
Ripoti zinaeleza kuwa kiungo huyo wa Brazil mwenyewe alikubali kuondoa kipengele hicho cha kuongeza mkataba.





