CCM yazindua kauli mbiu ya Uchaguzi Mkuu 2025
Sisti Herman
March 12, 2025
Share :
Kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa 2025, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimezindua kauli mbiu yake inayoitwa "KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE"
Kauli hiyo imezinduliwa jana Jijini Dodoma katika Mkutano wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.