Celine Dion kulipwa Bilioni 5.4 kwa wimbo mmoja atakaoimba leo
Eric Buyanza
July 26, 2024
Share :
Mwanamuziki maarufu duniani kutoka nchini Canada, Celine Dion, leo Julai 26 anatarajiwa kutumbuiza kwenye ufunguzi wa mashindano ya (Olimpiki 2024) jijini Paris nchini Ufaransa.
Taarifa ikufikie kuwa mwanamuziki huyo atalipwa $2m (sawa na shilingi Bilioni 5.4 za kitanzania) kwa wimbo mmoja tu atakaoimba.