pmbet

CEO wa NVIDIA arejea ofisini siku 11 baada ya kujiuzulu

Sisti Herman

November 24, 2026
Share :

 

Jensen Huang amerejea rasmi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Nvidia, ikiwa ni siku 11 tu tangu ajiuzulu. 💻

 

Bodi ya kampuni hiyo ilipiga kura kwa kauli moja kumrudisha mwanzilishi mwenza huyo, na Huang aliwaambia wafanyakazi: "Nitakuwa Mkurugenzi Mtendaji bora zaidi katika kipindi hiki cha pili."

 

Wawekezaji waliitikia mara moja, huku hisa za Nvidia zikipanda kwa zaidi ya 31% na kuongeza karibu dola trilioni 1 kwenye thamani ya soko ya kampuni hiyo kwa siku moja tu. 📈

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet