pmbet

Chama amfikia Samatta CAF, akimkimbiza Mputu

Sisti Herman

March 3, 2024
Share :

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba na timu ya Taifa ya Zambia Clatous Chota Chama ameifikia rekodi ya ufungaji ya mabao ya mshambuliaji wa Tanzania Mbwana Samatta kwenye Orodha ya wafungaji bora wa muda wote wa ligi ya mabingwa Afrika baada ya jana kufunga goli moja kwenye ushindi wa 6-0 dhidi ya Jwaneg' Galaxy kwenye dimba la mkapa na kufanikiwa kufikisha mabao 21.

Orodha hiyo inaongozwa na kiungo mshambuliaji wa zamani wa TP Mazembe, Mkongomani Tresor Mputu Mabi mwenye magoli 39. 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet