Chama 'amvaa' Ali Kamwe
Sisti Herman
September 8, 2026
Share :

Kiungo wa Simba, Clatous Chama amekwenda kuweka maoni yake katika chapisho la Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe.
Kamwe aliweka picha ndevu zake alizozipaka rangi na kuandika SELE DAY IMEWAKA, Chama ambaye ni kiungo mstaafu wa Zambia ameweka maoni hayo kwa kuandika My son.





