Chama anukia Jangwani
Sisti Herman
April 17, 2024
Share :
Wakati mkataba wake na klabu ya Simba ukielekea ukingoni mwishoni mwa msimu huu, Mwandishi wa habari za michezo nchini Juma Ayo anaripoti kuwa Kiungo mshambuliaji wa Simba Clatous Chota Chama yupo kwenye hesabu nzito za watani zao klabu ya Yanga.
Je Chama anaweza kujiunga na Yanga?