pmbet

Chama na Kapama wasimamishwa Simba

Sisti Herman

December 21, 2023
Share :

Wachezaji wa Simba, Clatous Chota Chama na Nassoro Kapama wamesimamishwa na timu hiyo kwasababu ya utovu wa nidhamu.

 

“Uongozi wa klabu ya Simba umewasimamisha wachezaji Claous Chota Chama na Nassoro Kapama kwasababu ya vitendo vya utovu wa nidhamu” ilisema sehemu ya tarifa kwa umma iliyochapishwa kwenye mitandao ya kijamii.

 

Aidha wachezaji hao watafikishwa kwenye kamati ya nidhamu kwaajili ya hatua za kinidhamu zaidi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet