pmbet

Chasambi ajiunga na Kagera Sugar

Sisti Herman

November 18, 2026
Share :

 

Winga Ladack Chasambi amejiunga na Kagera Sugar kama mchezaji huru (Free Agent), baada ya kuachana na Singida Black Stars.

Chasambi anatarajiwa kuanza kuitumikia Kagera Sugar mara baada ya kufunguliwa kwa dirisha dogo la usajili 2026/27.

Katika safari yake ya soka, Chasambi amewahi kuzitumikia timu za Mtibwa Sugar, Simba SC na Singida Black Stars, kabla ya kujiunga na Kagera Sugar.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet