pmbet

Chasambi kuvaa uzi wa Simba Zanzibar

Sisti Herman

December 27, 2023
Share :

Nyota wa klabu ya Mtibwa Sugar Ladack Chasambi ambaye taarifa kutoka chanzo kinachoaminika ndani ya klabu ya Simba zimedokeza kuwa amesajiliwa na klabu hiyo kwa dau la million 70 na mshahara wa Million mbili [2] kila mwezi kwa miaka mitatu [3] atakuwa sehemu ya kikosi cha Simba kitakachoshiriki michuano ya mapinduzi yanayotarajiwa kuanza kurindima mwezi December.

 

Ladack ambaye aliwaniwa pia na klabu kama Yanga, Azam na AS Vita ni miongoni mwa nyota wawili [2] ambao usajili wao umekamilika ndani ya klabu ya Simba kati ya sita [6] ambao wanatarajiwa kusajiliwa na klabu hiyo kwenye dirisha hili dogo la usajili la mwezi Januari.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet