pmbet

Che Malone atwaa tuzo ya mchezaji bora wa kigeni Algeria

Sisti Herman

May 13, 2026
Share :

 

Aliyekuwa beki wa Simba SC, Che Malone amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa kigeni wa Ligi Kuu ya Algeria katika tuzo za DZBest 2025/26.

Che Malone ambaye alikiwasha vilivyo kwenye michuano ya AFCON 2025 amekuwa na msimu bora na USM Alger na tuzo hii ni muendelezo wa mafanikio yake.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet