pmbet

Che Malone kuwania Tuzo Cameroon

Eric Buyanza

December 9, 2023
Share :

Beki wa klabu ya Simba, Che Malone Fondoh ametajwa kwenye Orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa msimu wa Cameroon "Ballon d'Or Cameroun"
 

Hafla ya utoaji wa tuzo hizo za nchini Cameroon zitakuwa Tarehe 16 mwezi huu.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet