Chelsea na Arsenal kwenye vita ya kumgombea Sesko
Eric Buyanza
June 5, 2024
Share :
Chelsea wana imani kuwa wanaweza kushindana na Arsenal katika harakati za kumsajili mshambuliaji wa Slovenia Benjamin Sesko kutoka RB Leipzig.
Sesko mwenye umri wa miaka 21 amekuwa na msimu mzuri kwenye Ligi ya Bundesliga.