Chelsea wanataka kumuuza Sanchez na kumnunua Ramsdale wa Arsenal kama mbadala
Eric Buyanza
February 24, 2024
Share :
TETESI ZA SOKA
Chelsea wako tayari kumuuza mlinda mlango wa Uhispania Robert Sanchez ambaye analezewa kama (project iliyofeli) na kumnunua kipa wa Arsenal kijana wa miaka 25 muingereza Aaron Ramsdale.