Chelsea yapanga kutoa 'Thank You' 12 Lukaku na Gallagher wamo.
Joyce Shedrack
July 27, 2024
Share :
Klabu ya Chelsea huwenda ikaachana na wachezaji wake 12 watakaopewa mkono wa kwaheri na kuondoka klabuni hapo wakati wa dirisha hili la usajili wakiwemo Romelu Lukaku, Conor Gallagher, Ben Chilwell na Kepa Arrizabalaga.
Wachezaji wengine wanaotarajiwa kuagwa mitaa ya darajani ni Trevoh Chalobah, Đorđe Petrovic Lesley Ugochukwu, Armando Broja, Cesare Casadei, David Datro Fofana, Harvey Vale na Leo Castledine.