pmbet

Chelsea yawamendea Diomande na Gyokeres

Eric Buyanza

December 23, 2023
Share :

Klabu ya Chelsea wamewasiliana na Sporting Lisbon ya Ureno kuhusu uwezekano wa kumsajili beki wao wa Ivory Coast Ousmane Diomande mwenye umri wa miaka 20.

Wazee hao wa Stamford Bridge pia wameonesha nia ya kumsajili mshambuliaji wa Lisbon Viktor Gyokeres kutoka Sweden.

Yote haya yanatarajiwa kufanyika mwezi January.

 

#TetesiZaUsajili

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet