Baada ya kuridhishwa na kiwango chake msimu huu klabu ya Azam imemuongezea kandarasi ya miaka miwili beki wao wa kulia Nathan Chilambo.Chilambo baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili ataendelea kusalia Azam hadi 2026.