pmbet

Chris Brown akamawa na polisi kisa tuhuma za kumpiga Producer.

Joyce Shedrack

May 16, 2025
Share :

Mwanamuziki maarufu wa R&B Chris Brown ameshikiliwa na jeshi la polisi Nchini Uingereza kwa kosa la kumpiga mtayarishaji 'producer' Abe Diaw kwa kutumia Chupa ya Tequila katika Kumbi ya starehe 'Club' moja London miaka miwili iliyopita 2023.

Chris Brown's South Africa Show Faces Backlash, Petition to Stop Concert
Chris Brown mwenye umri wa miaka 36 mekatwa huki Jijini Manchester kwa madai ya kuwa alimpiga Abe Diaw na chupa kichwani mara tatu, kumpiga ngumi na kumsababishia maumivu kwenye mkono yaliyompelekea kwenda hospitali kwaajili ya matibabu baada ya kuzimia kwa sekunde 30.

Tukio hili linajumuisha muendelezo wa matukio ambayo ameshawahi kuyafanya staa huyo wa muziki huko nyuma kwa Rihanna na Karrueche ex wake kwa kumpiga na taarifa hizo kuenea sana katika mitandao ya kijamii.
 

Vyombo vya habari nchini Uingereza viliripoti kwamba mwimbaji huyo wa R&B aliwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Manchester kwa ndege ya kibinafsi siku ya Jumatano alasiri.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet