Chris Rock na Amber Rose wazua gumzo, je ni wapenzi?
Eric Buyanza
December 28, 2023
Share :
Mchekeshaji Chris Rock na mwanamitindo maarufu Amber Rose wamezua tetesi kila kona ya marekani kuwa wanatoka kimapenzi baada kufumwa wakisherehekea Krismasi pamoja.
Siku ya Jumatatu walionekana wakifurahia maisha pamoja wakiwa kwenye matembezi Jijini New York.
Mpaka sasa imeshindwa kujulikana ikiwa wawili hao ni wapenzi au ni marafiki tu…..Wakati utaongea.