pmbet

Clara atajwa Orodha ya wachezaji wa kike 25 hatari zaidi duniani

Sisti Herman

March 22, 2024
Share :

Utafiti uliofanywa na jarida la Goal na washirika wengine kama 433 wamemtaja Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Clara Luvanga kwenye orodha ya wachezaji 25 bora wanaochipukia kwasasa duniani.

Kwenye Orodha hiyo Clara ametajwa kwenye nafasi ya 16 huku akiwa mchezaji pekee kutoka barani Afrika.

Orodha ya wachezaji chipukizi hatari zaidi duniani kwa mujibu wa GOAL;

1. Linda Caecedo, Real Madrid, Colombia
2. Vicky Lopez, Barcelona, Hispania
3. Aline Gomes, Ferroviaria, Brazil
4. Mara Alber, Hoffenheim, German
5. Signe Gaupset, Brann, Norway
6. Wieke Kaptein, Chelsea, Uholanzi
7. Olivia Moultrie, Portland, Marekani
8. Momoko Tanikawa, Bayern, Japan
9. Dudinha, Sao Paulo, Brazil
10. Sara Ortega, Athlethic Club, Hispania
.
.
16. Clara Luvanga, Al Nassr, Tanzania
.
.

Hongera kwa Clara Luvanga

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet