pmbet

Clara na Singano waipa Al Nassr ubingwa dhidi ya Al Hilal

Sisti Herman

September 6, 2026
Share :

 

Nyota wa kimataifa wa Tanzania Clara Luvanga na Julitha Singano jana wamefanikiwa kuisaidia timu yao ya Al Nassr kutwaa ubingwa wa Saudi women's super cup nchini Saudi Arabia baada ya kuwafunga Al Hilal ya wanawake kwa magoli 4-1.

Wachezaji wote wawili walianza katika mchezo huo huku mshambuliaji Clara Luvanga akifunga magoli matatu ( hat-trick) huku beki Julitha akifanya kazi iliotukuka ya kiulinzi.

Kwa upande mwingne Clara jana amefikisha jumla ya Magoli 17 katika michezo yote aliocheza dhidi ya klabu ya Al Hilal ambao ndio mahasimu wakuu wa al nassr katika ligi hiyo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet