pmbet

Clement Mzize na Dickson Job kurejea uwanjani Octoba mwaka huu.

Joyce Shedrack

July 28, 2026
Share :

Wachezaji wa Yanga Clement Mzize na Dickson Job wanatarajia kurejea uwanjani octoba mwaka huu msimu utakapoanza tofauti na matarajio ya Madaktari.

 

Wachezaji hao waliokesekana takribani msimu uliopita wameanza rasmi mazoezi na wachezaji wenzao huku wakiwa chini ya uangalizi maalum wa madaktari wa timu.

 

“Ripoti niliyonao kuhusu Mzize na Job ni kuanza kucheza disemba lakini kwa nilivyowaona wanaweza kurudi uwanjani mapema sana kuanzia mwezi wa 10 msimu ukianza” Amethibitisha Ally Kamwe msemaji wa Yanga.

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet