Coastal Union wazipania alama 3 dhidi ya Simba kesho.
Joyce Shedrack
May 20, 2026
Share :
Nahodha wa Coastal Union Geofrey Manyasi akizungumza kuelekea Mchezo wao wa kesho dhidi ya Simba anasema wamijiandaa kuhakikisha wanapata alama tatu.

"Wachezaji tumejipanga vizuri kutafuta ushindi, tunajua Mchezo wa Kesho ni Mgumu ila tumejipanga kutafuta Alama Tatu Kesho na kufanya vizuri.
"Niwaombe Mashabiki waje kwa wingi kuputa nguvu ili tupambane kuipatia Timu yetu ushindi"





