pmbet

Cobhams na Sauti Sol kwenye video ya 'Fiona'

Eric Buyanza

February 17, 2024
Share :

Mwanamuziki wa Nigeria, Cobhams Asuquo amelishirikisha kundi maarufu Afrika mashariki kutoka nchini Kenya, Sauti Sol kwenye ngoma yake (video) inayokwenda kwa jina la ‘Lady Fiona’.
 

'Lady Fiona' ni ngoma yenye mahadhi ya Afro-pop, inayoweza kuwafanya wasikilizaji wazame katika ulimwengu wa mahaba na kuibua hisia zinazoweza kumpata mtu yeyote ambaye amepitia furaha au magumu katika mahusiano ya kimapenzi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet