Cole Palmer atwaa tuzo ya Hazard Chelsea
Sisti Herman
May 10, 2024
Share :
Baada ya kiungo mshambuliaji wa Chelsea Cole Palmer kutangazwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Aprili wa ligi kuu Uingereza ikiwa mara ya kwanza kwa mchezaji wa Chelsea tangu mwaka 2018 ambapo alitwaa Eden Hazard.
Palmer ametwaa tuzo hiyo baada ya mwezi huo baada ya kufunga magoli saba na asisti moja ndani ya michezo minne ya ligi hiyo.