pmbet

"Courtois ndiye kipa bora Duniani hilo halina mjadala"Arbeloa.

Joyce Shedrack

March 14, 2026
Share :

Kocha wa Real Madrid Alvaro Arbeloa amemwagia sifa golikipa namba moja wa kikosi chake Thinaut Courtois huku akiweka wazi kuwa ndiye kipa bora duniani na hakuna mjadala.

 

“Thibaut Courtois ndiye BORA DUNIANI na KIPA BORA ZAIDI KATIKA HISTORIA YA Real Madrid CF,” 

Courtois: “En meget vigtig sejr – nu vil vi vinde endnu en finale”

“Nimewahi kucheza na baadhi ya makipa bora zaidi duniani Nafikiri hawakuwa tu miongoni mwa bora duniani, bali pia walichukuliwa kama baadhi ya makipa bora katika historia. Hata hivyo, kile ambacho Courtois anafanya, SIJAWAHI kukiona kwa mtu mwingine yeyote,” 

 

“Kwa upande wangu, hakuna mjadala na kipa yeyote yeye ndiye bora duniani, na bila shaka tunashuhudia kipa bora zaidi katika historia ya Real Madrid.”Amesema Alvaro Arbeloa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet