pmbet

Cristano Jr, alipo dingi yeye hakosi

Sisti Herman

February 18, 2024
Share :

Akiwa na miaka 13 tu tayari mtoto wa kwanza kiume wa mfungaji bora wa muda wote ulimwenguni Cristiano Ronaldo, Cristiano Jr tayari amecheza timu 4 za vijana ngazi ya klabu kutoka mataifa manne tofauti ambazo pia baba yake amezicheza Real Madrid (Uhispania), Juventus (Italia), Manchester United (Uingereza) na Al Nassr (Saudi Arabia).

 

Kinda huyo kwa umri wake mdogo pia inasemekana anaongea lugha nne tofauti kwa ufasaha ambazo ni Kiingereza, Kihispaniola, Kiitaliano na Kireno ambayo ni lugha mama ya Taifa la baba yake.

 

Je unadhani Cristano atakuwa mchezaji wa kiwango kikubwa kama ilivyo kwa baba yake?

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet