pmbet

Cristiano Ronaldo kucheza pamoja na Cristiano Jr Al Nassr

Sisti Herman

April 23, 2026
Share :

 

Vyanzo mbalimbali vimeripoti kuwa kuna uwezekano msimu ujao 2026/27 tunaweza kushuudia Cristiano Ronaldo akicheza timu moja na kijana wake Cristiano Jr .

Imeripotiwa kuwa klabu ya Al Nassr wapo kwenye mpango wa kumjumuisha Cristiano Jr kama mchezaji wa kikosi cha kwanza cha Al Nassr kutoka timu za vijana na mazungumzo yanaendelea .

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet