pmbet

Cristiano Ronaldo na muonekano mpya wa nywele

Eric Buyanza

August 14, 2026
Share :

Cristiano Ronaldo amebadilisha muonekano wake kwa kunyoa mtindo mpya wa nywele na kuzipaka rangi.

 

Mabadiliko haya yamekuja siku chache baada ya  kutoka kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Georgina Rodríguez.

 

Ronaldo ameuonyesha muonekano huu mpya aliporejea kwenye mazoezi ya timu yake ya Al-Nassr nchini Saudi Arabia kwa ajili ya kuanza msimu mpya wa ligi. 
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet