Croatia walivyoichapa Ufaransa kwa mbinu
Sisti Herman
March 21, 2025
Share :
Usiku wa jana ulipigwa mcgezo wa #UEFANationsLeague kati ya Croatia dhidi ya Ufaransa ambapo matokeo yalikuwa Croatia 2-0 France, Hii ni tathmini ya kimbinu ya mchezo huu.
Croatia wametupa game nzuri sana kimbinu, wametawala na kutafsiri vizuri Moment zao, wakatumia vitu vichache tu kuamua Scoreboard;
- Positional Superiority
- Final third accuray
1. Positional Superiority
- Kwanza kabisa walijua kabisa kuwa France waki-set block yao ni ngumu kuwafungua, France walizuia na Block ya 4-4-2, yenye Mbappe na Dembele
- Wakachagua maeneo ya kuya-target ili kufika kwenye lango la Ufaransa
- Kwasababu Kramaric na Perisic ni wazuri kushambulia maeneo nyuma ya ukuta hasa wakiwa kwenye situation za mmoja dhidi ya mmoja (1v1);
- Walichagua kucheza zaidi na SPACE BEHIND backline ya France
- Na siyo SPACE IN BETWEEN, Kramaric na Perisic walikuwa hawaiingii ndani sana
Ni namna gani wanapata Space behind backline na 1v1 Situations pembeni?
- Wali-attract pressure kwao kwa build up from back, ambapo waliwavuta France kwao, wakiwa wana build up na umbo la 3+4
- mabeki wawili na kipa + viungo wawili na mabeki wawili pembeni vs 4-4-2 ya France
- France pressing ya France ili target zaidi mstari wa pili wa Croatia kwasababu mbele walikuwa 3v2, Gundouzi na Tchoumeni vs Modric na Kovacic, Kolo na Rabiot vs Gravidol na Stansic
- Hiyo Pressing structure iliwapa Perisic na Kramaric sitiation za 1v1 dhidi ya Kounde na Digne
- Movement za wachezaji hao wa pembeni NYUMA ya ukuta wa Ufaransa badala ya katikati ya mistari zikatengeneza faida ya kufika kwenye Final Third mara kwa mara, POSITIONAL SUPERIORITY
2. Final Third Accuaracy
- Wakiwa kwenye final third, Craoatia walijitahidi kushinda kila kitu
Walishinda situation hizi;
- Wide creation kwa crosses kwenda kwa Budiimir, moja ikiwa assist - Budimir alijitahidi kushinda duels, moja ikawa finishing
- Lakini pia Craatia walijitahidi kushinda Second balls baada ya France ku-clear, moja ikawa goli la Perisic Walishinda situation hizi;
- Wide creation kwa crosses kwenda kwa Budiimir, moja ikiwa assist
- Budimir alijitahidi kushinda duels, moja ikawa finishing - Lakini pia Craatia walijitahidi kushinda Second balls baada ya France ku-clear, moja ikawa goli la Perisic
Final Stats