Crystal Palace wataka zaidi pauni milioni 70 kumuuza Guehi, Arsenal wasusa
Eric Buyanza
July 19, 2024
Share :
Arsenal wana mpango wa kusitisha nia yao ya kumnunua mlinzi wa Uingereza Marc Guehi wakati ambao Crystal Palace wakihitaji zaidi ya pauni milioni 70 kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza mwenye umri wa miaka 24.