Cucurella atimiza ahadi, Apaka nywele zake rangi nyekundu
Eric Buyanza
July 19, 2024
Share :
Katika mahojiano aliyoyafanya na Mundo Deportivo, mlinzi wa Uhispania Marc Cucurella aliahidi kupaka nywele zake rangi nyekundu ikiwa Hispania itashinda Euro.
Taarifa ni kwamba Marc Cucurella ametimiza ahadi yake kwa kupaka nywele zake rangi kama aliyoahidi.