Dah...! Ndiyo basi tena, Pogba afungiwa miaka minne
Sisti Herman
February 29, 2024
Share :
Aliyekuwa kiungo sambusa wa Manchester United, Juventus na timu ya Taifa Ufaransa Paul Pogba amefungiwa kujihusisha na shughuli yoyote ya soka kwa miaka minne baada ya kukutwa na hatia ya kutumia dawa zilivyopigwa marufuku michezoni ambazo zinatajwa kuongeza na kusisimua misuli.
Endapo atatumikia adhabu hii mpaka ukomo wake, kiungo huyo mwenye asili ya Guinea atarudi uwanjani akiwa na umri wa miaka 35.