Dar City yatinga BAL na rekodi 2
Sisti Herman
March 26, 2026
Share :

Wakati Ligi ya mchezo wa Kikapu barani Afrika (BAL) ikitarajiwa kuanza kesho, hizi ni rekodi muhimu kabla ya michuano kuanza;
1. Dar City, ndiyo timu ya kwanza ya Tanzania kuwahi kushiriki michuano hii kwenye historia
2. Hasheem Thabeet ndiyo mchezaji wa kwanza kushiriki michuano hiyo akiwa pia Rais wa shirikisho
3. Al Ahly Benghazi ndiyo timu ya kwanza kwenye historia ya BAL kucheza ikiwa na wachezaji bora wa michuano hiyo kwa misimu miwili tofauti
4. The Tigers ya Rwanda ni timu ya 4 tofauti kushiriki michuano hiyo kutoka nchi 1 kwenye historia ya BAL
5. Petro De Luanda ni timu pekee kushiriki misimu 6 mfululizo ya BAL





