Dau nono lampeleka winga wa Newcastle Barcelona
Eric Buyanza
May 28, 2026
Share :
Winga wa klabu ya Newcastle, Anthony Gordon anakaribia kukamilisha uhamisho wake kwenda Barcelona, na leo Alhamisi anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya.
Ikiwa dili hilo litakamilika mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza mwenye umri wa miaka 25, atalipwa mshahara wa paundi 300,000 sawa na zaidi ya shilingi bilioni 1 kwa wiki.






