Davido aingiza zaidi bilioni 2 kwenye 'show' moja New York
Sisti Herman
June 9, 2024
Share :
Show ya msanii wa muziki wa Nigeria Davido lililofanyika katika ukumbi wa Madison Square Garden Mjini New York April 17 mwaka huu imekadiriwa kuingiza zaidi shilingi za Kitanzania bilioni 2.
Davido anakadiriwa kuuza zaidi ya tiketi 10,185 na kuingiza kiasi cha $809,689 sawa na shilingi Bil 2.1.