pmbet

Davido ajivunia miaka 12 akiwa pamoja na Chioma.

Joyce Shedrack

November 29, 2024
Share :

David Adeleke 'Davido' Mwanamuziki kutokea Nchini Nigeria, Ameonyesha kujivunia Chioma Rowland ambae ni mke wake kwa kukutana naye miaka 12 iliyopita na kuanza mahusiano yao licha ya kuwa na milima mingi na mabonde na kuishia kumchagua kama mwanamke wa maisha yake na kumuoa.

Davido katika moja ya mahojiano aliyofanya amesema,
"Heshima kwa Mke wangu na mama wa mapacha wangu warembo Mrs Chioma Adeleke, amekuwa mwanamke wangu kwa zaidi ya miaka 12, Nakupenda na nimekupata wewe kwaajili ya maisha yangu." DAVIDO.

Licha ya mkali huyo wa Afrobeats kuwa na watoto wengi wa nnje lakini anamuheshimu Chioma kama mama wa watoto wake wote na kujivunia Mwanamke huyo mvumilivu na muadilifu kwake kama yeye anavyosema.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet