pmbet

Davido alimvyomtandika baunsa wake Kofi siku ya harusi yake

Eric Buyanza

July 4, 2024
Share :

Wiki moja tu baada kufanya harusi kubwa iliyotikisa taifa la Nigeria, msanii Davido ameamka na kujikuta akisemwa vibaya na watumiaji wa mitandao ya kijamii.

Hilo limejiri baada ya kusambaa kwa video ikimuonyesha msanii huyo akimpiga kibao baunsa wake siku ya harusi yake.
 

Video hiyo inamuonyesha baunsa huyo akionyesha utulivu mkubwa baada ya tukio hilo.
 

Hata hivyo Davido, kupitia ukurasa wake wa X ameonesha kuwa hajali watu wanasema nini.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet