pmbet

Davido amshukuru Chriss Brown kwasababu ya Maokoto

Sisti Herman

December 21, 2023
Share :

Mkali wa Afrobeat Davido amemshukuru mwanamuziki kutoka nchini Marekani Chris Brown baada ya kumuwekea dola milioni 3 (zaidi ya Tsh 700 milioni) kwenye account yake.

Davido ameyasema hayo alipokuwa jukwaani akitumbuiza kwenye moja ya show yake huku akieleza kuwa anamshukuru Chris kwa kumuwekea pesa hizo ambazo hajazitolea maelezo kuwa zilikuwa ni za nini.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet